Usimamizi wa majengo
JengoHub
JengoHub ni mfumo wa usimamizi wa majengo wa Albatech, kwa kumbukumbu za kila siku na taarifa kwa wamiliki.
Unatumika ndani ya Albatech kwa sasa.
- Kumbukumbu za wapangaji
- Taarifa za upangaji
- Malipo ya kodi
- Matumizi
- Taarifa kwa wamiliki
